.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Diamond Platnumz aachia picha za Nyumba yake Mpya ni Balaa, Zaidi ya Milioni 260 zatumika




Kupitia page zake za Mitandao ya kijamii, Facebook instagram na Twitter Mwanamuziki Diamond Platnmuz ameweka picha za muonekano wa nyumba yake iliyopo maeneo ya Tegeta.

Mwaka Mmoja uliopita ikiwa kwenye Matengenezo

Nyumba hio imemchukua takribani mwaka mmoja kuimaliza, kuna Gym, Bwawa la Kuogelea, Dancing Hall, Studio, DartsCourt na BasketBall Court. Inasemekana ime gharimu zaidi ya Milioni 260

Usiku wa Jana alipata ugeni wa marafiki na ndugu pia alioneka mmoja wa meneja zake aitwae Salaam.


Cheki Video fupi



Tuachie Comment yako. Unasemaje kuhusu Mjumba wa Chibu Dangote
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad