Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID
Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu
katika Kituo cha Polisi Oysterbay baada ya kukamatwa na
polisi
kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye
Yani Bimdo(Mariam) katika wanaume wioooooteumemuona hyu TID ndo wa kudate nae???aibu,ona sasa anavyokuaibisha na familia yako?kisa?halafu c mliosoma wote Shaaban Robert,huyu mvuta bangi
ReplyDelete