.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

ONA HARUSI YA KWANZA KUFUNGWA NA WASHIRIKI WOTE WAKIWA WATUPU WA MNAYAMA



Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharama

nyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo.


Na wasimamizi wao nao mtindo ule ule!


kweli dunia it's about to end maana hivi sio vya kawaida hata kidogo...
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Hii ni Ishara ya kuwa sasa Shetani amekwisha kukamata mawazo ya uhalisia wa UTU. hakika UTU umetoweka na wanadamu wamebaki na akili za kinyama na kuifurahia hiyo tabia ya kinyama . Yesu tusaidie.

    ReplyDelete

ad