.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HISTORIA YA MODEL HAMISA MOBETO

Click image for larger version. 

Name: 1410851503811.jpg 
Views: 0 
Size: 53.7 KB 
ID: 185567
Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm.

Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania. Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.

Kutokea Hapo hamisa amekuwa gumzo kwenye tasnia ya uanamitindo na filamu pia. Pia amisa ni video queenna wengi mnaweza kumuona kwenye video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014 Hamisa alitokea kwenye cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya. Akiwa Ndio kwanza ana miaka 21 Hamisa ni mtu wa kuangaliwa sana sababu anategemewa kufanya mambo makubwa zaidi.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad