.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Official Video: Navio Feat. Mr. Blue- AYAYA

Blue & Navio
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘.
Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad