Vijana wakiendelea kugonga nyundo wakati wa bomoabomoa hiyo.
Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo aitwaye, bwana Kitabu akielekea kituo cha Polisi Mabatini kuomba msaada.
Mafundi waking'oa mabati.
Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo aitwaye, bwana Kitabu akielekea kituo cha Polisi Mabatini kuomba msaada.
Mafundi waking'oa mabati.
Wapangaji wa nyumba moja iliyopo Kijitonyama mkabala na Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar es Salaam, leo wametupiwa vitu nje na mnunuzi mpya wa nyumba hiyo waliyokuwa wakiishi. Imedaiwa kuwa nyumba hiyo ilikuwa ikimilikiwa na mtu mmoja aliyetajiwa kwa jina la Juma Telela, ambaye alimuuzia mtu mwingine bila kuwashirikisha wapangaji. Katika sakata hilo wapangaji hao wamedai kuibiwa vitu vyao na kundi la vijana waliopewa kazi ya kuibomoa nyuma hiyo.
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment