Wabunge 13 wa Kamati ya Bunge ya Miundo Mbinu, leo wamepata ajali kubwa ya ajali ya moto wa gari walilokuwa wakisaifiria huko Bukoba. Moto huo mkubwa ulianzia kwenye engine ya gari hilo, Wabunge waliotkea madirishani na mlangoni. Wabunge hao wapo huko Bukoba kukagua miradi ya maendeleo.
.
.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment