DUNIA NA MAAJABU YAKE-BWAWA LA KUOGELEA LENYE LENYE WINE BADALA YA MAJI
Yani hii dunia ina vitu vingi na hata
vingine hatuvijui, ni furaha yangu kukujulisha kwamba moja kati ya mambo
mapya machoni mwangu ni hili bwawa la kuogelea ambalo tofauti na
mabwawa mengine, hili halina maji bali lina mvinyo mwekundu yaani Red
Wine.
Lipo nchini Japan na wamiliki wa hotel
ambayo hii swimming pool ipo walipata idea ya kulijenga kutoka kwa
malkia wa Misri enzi za kale Qleopatra ambaye inasemekana alikuwa na
Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo ili kurutubisha ngozi yake.
Mvinyo huo unamwagika toka kwenye chupa unayoiona hapo kwenye picha ina urefu wa mita 3.6
No comments:
Post a Comment