Alikamatwa wakati anajiandaa kubadilisha ndege ili kupanda inayokuja Tanzania.
Hakujatolewa taarifa nyingine zaidi ila blog ya vijana inaendelea kufatilia info zaidi kwa sababu bado Mtanzania huyu anashikiliwa na polisi wa Dubai.
Hiyo picha imezibiwa hukohuko Dubai ilikopigwa.
Hili tukio limetokea siku kadhaa baada ya mabinti wa Kitanzania kukamatwa wakiingiza dawa za kulevya kwenye nchi za Zimbabwe na Afrika Kusini wakati pia kwenye Uwanja wa ndege Dar es salaam mwanaume Mtanzania alikamatwa siku kadhaa zilizopita akiwa anasafirisha dawa za kulevya.
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment