Mshiriki kutoka nchini Namibia Dillish ameonyesha kufurahia baada ya mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessi kuyaaga mashindano hayo usiku wa Jumapili’.
Ambapo Dillish alinyanyua mikono yake juu na kusema kwa sauti ‘Yes! Feza Out! Thanks God!’alisikika mshiriki huyo wa Namibia akifurahia kwani Feza ndiye aliyeoneka kuwa na upinzani mkubwa kwa washiriki waliobaki kwenye shindano hilo.
0 comments :
Post a Comment