.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MABINTI WAWILI WAKAMATWA AIRPORT NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA BILIONI 2.5



Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye airport ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo. 

Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea.

Baada ya kukamatwa na polisi mabinti hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa hilo la kujaribu kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi sasa wapo kwenye mikono ya polisi.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad