BLOG YA VIJANA
Friday, 30 August 2013
NANDO "NAHISI KUMPENDA MSHINDI WA BIG BROTHER DILLISH"
Nando ambaye anawindwa kama ndege na wasichana warembo wa Afrika wenye uchu na penzi lake, ameamua kutoficha hisia zake na kuzianika kwa mashabiki wake zaidi ya 19,000 wa Twitter
Army Nando
@
Ammynando
I think I'm inlove with the BBA Chase winner..!!!.....
#justsaying
Kwa urembo wa Dillish, hatumshangai Nando lakini habari mbaya kwake ni kwamba ameshachelewa kwakuwa Mnamibia huyo anaye wake tayari.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment