Wanyamwezi toka mbele huko C.E.O Birdman na Leader wa Young Money Lil wayne
baada ya kuona baada ya tuzo MTV VIDEO MUSIC AWARD kufanyika hii ni Exclusive after party itakayodondoshwa na wanyamwezi hao huku ukitaka kudhuria party hii basi kama una mpunga wa dola 500 waeza jumuika nao lakini kwa kununua ticket online na si zaid ya watu 100 tu wa kawaida.
Tusibiri tuone kitakchojiri kwenye usiku huo mchambuzi wako ntakushushia hapa picha jinsi wanyamwezi watakavyo dondoka ndani ya party hiyo.... |
No comments:
Post a Comment