Haya ndo Mapozi ya Wasanii Kwenye Safari ya FIESTA.Hii Ni BEHIND THE SCENE
Mmmh... Linah umetisha wawili double .....?
Recho ..... utamtaja tu wewe jishebedue!!!!
Haaaaa... Shilole unamkonyeza huyo hapo ama nini.....??
Shilole hizo ndiyo pamba za America au??
Msechu tumekuona ....
Zirro,Muli B, mnatisha hata bila pozi.....
Aaah Shafii umekutana na mdau mwenzako wa soka nini mbona unatabasamu sanaaa????
Nani anadowea kwa mwenzake sasa.... nawauliza nyie hapo B12 & Shetta????
Recho,Nalee... pozi hilo mnapendana kweli au ndio urafiki wa msimu wa Serengeti Fiesta 2013???
Shetta si unamke na mtoto wewe eeeh???
Mmesomeka...,Msechu,Mchomvu,G Walawala & B12 !!!
Basi sawa mrembo!
0 comments :
Post a Comment