Wednesday, 7 August 2013

PICHA ZA MASTAA HAWAA ZAZUA UTATA

 
Picha aliyopiga Staa wa filamu za Kibongo Irine Uwoya na Staa wa Bongo Fleva Abwene Yesaya ‘AY’imezua utata mtandaoni baada ya mashabiki kujiuliza labda pengine kuna filamu ambayo wanaiandaa kuifanya.
 
AY akizungumza alisema kuwa picha hiyo walipiga baada ya kumaliza kufanya enterview na Uwoya kupitia kipindi chake kipya ambacho kinarajia kuanza hivi kupitia  Clouds Tv

No comments:

Post a Comment