Tuesday, 13 August 2013

WATAKAO PANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA NDANI YA KIGOMA HAWA HAPA


kigoma_0
Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi ni ndefu, so jipangeni na team nzima ya Clouds itakuwa pande hizo. List inaenda kama hivi.
  • A.Y
  • T.I.D
  • Cassim Mganga
  • Barnaba na Amini
  • Mwana F.A
  • Godzilla
  • Young Killa
  • Ney Lee
  • Stamina
  • Shet a
  • Shilole
  • Weusi (Joh,Niki wa Pili, G nako)
  • Chege
  • Temba
  • Madee
  • Recho
  • Linex
  • Peter Msechu
  • Baba Levo
  • Makomando

No comments:

Post a Comment