.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BAADA YA FEZA KUTUA BOTSWANA SASA NAE ELIKEM ATUA ZIMBABWE,APOKELEWA NA MAELFU YA WATU

Aliyekuwa mshiriki wa shindano la BBA‘The Chase’Elikem kutoka nchini Ghana ametua muda mchache uliopita katika ardhi ya nchini Zimbabwe na kupokelewa na mpenzi wake Pokelo na maelfu ya wakazi wa nchi hiyo.
Leo Ijumaa Septemba 6 katika ukumbi wa Blue Pokelo atamtambulisha mpenzi wake huyo nyumbani kwao katika ukumbi wa Blue.
Katika utambulisho huo Elikem atatumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa mashabiki wa Zimbabwe kwa kumpa mpenzi mwenye mapenzi ya dhati kwake.
Picha mbalimbali zinaonyesha jinsi Elikem alivyopokelewa hii leo.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad