Friday, 13 September 2013

BARCELONA WAPIGA PICHA YA PAMOJA AMBAYO ITAKUA INATUMIKA UEFA

 Siku ya Ijumaa asubuhi kabla ya mazoezi, kikosi cha kwanza cha Barcelona walipigwa picha ambayo itamumika na viombo vya habari vya UEFA.
 Wachezaji wote walipigwa picha ya pamoja kisha baadae wakapiga picha ya pamoja.

Mchezji pekee aliye kosekana  katika kikosi hiko ni Ibrahim Afellay ambae bado anaendelea na matibabu ya surgery tangu Agosti 22
Picha hio ilimalizika kwa kuwepo kocha mkuu wa timu hio Tata Martino na msaidizi wake Jorge Pautasso 


UEFA huwapiga picha wachezaji wote hili kutumia picha hizo kwenye viombo vyao vya habari. Mda mfupi baadae wachezaji hao walipiga picha ya pamoja na Raisi wa timu hiio Sandro Rosell ambayo itakua picha ya Barcelona msimu huu 2013/2014

No comments:

Post a Comment