Mama na watoto wake wameuliwa na moto nyumbani kwao vifo vya watu hao 4, ambao ni Shehnila Taufiq na watoto wake Zainab, Bilal and Jamal Sattar, wamekutwa wamefariki chumbani kwao .
Officers cordoned off the house as forensics investigated the scene of the murders in Leicester.
Fortunately the blaze failed to spread to neighbouring houses along the terraced street in Wood Hill.
''watu hawa walikua watu wazuri sana'' Mohamed Manjara, mwalimu wa Darul Uloom School ambayo alikua anasoma mmoja ya watoto hao, Ameeleza kwamba mtoto huyo aliyeuliwa kwa moto alikua mtoto mzuri sana , alikua anapenda sama kusoma nna alikua hapatikani kwenye matatizo yeyote yale.,,,,,
shahidi amesema yakwamba watu wale walikua hawana njia yeyote hile yakutoka kwenye moto hule
mkuu msaidizi wa mapolisi Roger Bannister amesema askari kutoka Leicestershire wanaendelea na uchunguzi na kusema ya kwamba Mrs Taufiq na watoto wake wameuliwa na mtu ambaye analipiza kisasi
amesema ''siwezi kuthibitisha kama ni kisasi - inaweza ikawa au inaweza isiwe ''.
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
nyc spot
ReplyDelete