.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BUNDI ATUA KWENYE JENGO LA ACCESS BANK MANZESE-DAR

Bundi akiwa ametua kwenye ukuta wa jengo la Tawi la Access Bank iliyopo iliyopo Manzese jijini Dar.

Ndege aina ya Bundi alionekana kwenye jengo la tawi la Access Bank lililopo maeneo ya Manzese jijini Dar hapo jana Agosti 08, na kuwashangaza watu wengi waliokua wakipita eneo hilo. Aidha paparazi wetu alipojaribu kutaka kujua zaidi kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, baadhi yao walihusisha tukio hilo na imani za kishirikina kwa kudai kuwa ni nadra sana kwa ndege kama yule (Bundi) kuonekana sehemu ya makazi ya watu na hasa maeneo ya mijini majira ya mchana kama alivyoonekana jana.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad