.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

DIAMOND PLUTNUMZ AFUNGUKA KUHUSU SKENDO ZAKE ZA KUIBA NYIMBO NA KUMPA MWANAMKE WA KIDATO CHA 4 MIMBA


Msanii Diamond Plutnumz ameamua kuvunja ukimya kuhusu maneno yanayo sambazwa kwenye viombo tofauti vya habari ndani na nje ya Tanzania kwamba yeye ameiba nyimbo kutoka kwa watu zaidi ya mmoja waliojitokeza...

Diamond plutnumz amekubali kwamba Dyna alimuomba afanye nae collabo takribani mwaka mmoja sasa ila kwasababu ya kuwa bize na kazi huku akiwa anapata safari nyingi sana za kizazi alishindwa kufanya collabo hio na pia Diamond alisema yakwamba producer wa nyimbo yake mpya ndiye alie mpigia simu na kumwambia ya kwamba anataka kufanya nae kazi ndipo producer huyo alipo muombva Diamond afike studio na Diamond hakusita kufika hapo...
Diamond alikubaliana nae,pia Diamond amesema yakamba producer huyo alisema yakwamba ataongea na Dyna kamba alikua anampa beat hiyo diamond,,.......
Baada ya muda fulani producer huyo alimpigia simu Diamond na kumwambia kwamba Dyna amekubali ndipo Diamond alipo mwambia producer aitume Beat hio kwenye email hili aifanyie kazi.....katika hili diamond amesema yakwambia Dyna alikua anasambaza mail kwa atu kuhuu hili na pia alikaa na watu flani ambapo Diamond alimtaja H.Baba tu .....Diamond amesema kamba Dyna alikaa chini hao watu na kuwambia kuhusu hio skendo atakayo kuja kuifanya,.......

uku katika skendo yake nyngine ya kumpa binti wa kidato cha nne mimba Diamond amekana sawala hilo na kusema ya kamba baada ya yeye kupata taafrifa hizo alifanya uchunguzi na kubaini ya amba huyo binti hana mtoto na mtoto aliomuoneha pale ni mtoto wa dada yake Sasha...Diamond alitumiwa message na mtu n kueleza hayo.......

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad