Thursday, 12 September 2013

EXCLUSIVE: HII NDO NYUMBA MPYA YA MADEE ALIYOMALIZA KUJENGA HIVI KARIBUNI, NI KWA MSHIKO WA SINGLE YAKE YA NANI KAMWAGA OMBE YANGU


Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection “Madee” ametoa shukrani zake kwa Mungu kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba yake iliyopo Mbezi ya Kimara,jijini Dar -Es-Salaam.
Msanii huyo alisema maneno haya na kupost hii picha na kusema maneno haya




No comments:

Post a Comment