Thursday, 19 September 2013

HAYA WATANZANIA WENZAGU TUJIFUNZE....MTU AFUNGUKA


Wanawake wamekua makatili kuliko Israel mtoa roho,wale wanaotoka makazini jioni na kungojea madaladala its beter mgojage hayo hayo madalalala,kuliko kupanda yale magari ya watu binafsi wanaosanya buku buku..Kuna wadada watatu wametekwa na wanawake wenzao waliokua na gari aina ya noah tinted nyeuse..wamewapandisha wamewapeleka pasipojulikana wameibiwa pete za ndoa,dhahabu zote,pesa taslimu,Atm cards..wakaona haitoshi wakaamuru wapewe pasword za tigo pesa,wakapewa wakaenda kukömba hela zote..Just imagne wanawake tumekua wanyama..its a true story imetokea..Tuwe makinì na lift tusizozijua hali imekua tete
Like · · · about an hour ago via Mobile ·

  • 2 people like this.
  • Asha Mayuwe Yallah tunaomba kistiri kizazi hili yarabbi.
  • Candy Rugo Mama prince unalosema lipo mtu asibishe bt kama halijakukuta huwez jua ila hata mm yalinikuta hizi gar za private znazoenda mkoan mmmh tuliachwa porin na waliondoka na kila kitu imagne hata nauli hatukubak nao!c wanawake tu hata wanaume!kifup binadam wamekuwa ka wanyama

No comments:

Post a Comment