HII NDO ITAKUA MECHI YAKWANZA YA GARETH BALE NDANI YA REAL MADRID
Villarreal v Real Madrid
Mchezaji aliye sajiliwa kwa ada kubwa atacheza mechi yake yakwanza na kikosi cha Real Madrid jumamosi hii ambapo Real Madrid watakutana na Villarreal, kocha Carlo Ancelotti amethibitisha hili
Kiungo huyo amefanya mazoezii na wachezaji wanzake wapya siku ya jumatano ...
''Nadhini kila mtu anajua kwamba Bale hakua vizuri katika kipindi cha kujianda na msimu mpya lakini kiafya hayuko vibaya'' Ancelotti amewambia waandishi huko Madrid ijumaa ya leo
v/s
Villarreal vs R Madrid
September 14,
''anaweza akaanza lakini hato maliza mchezo mzima. Anaweza akaingia dakika 45, sijajua bado, lakini atajisikia vizuri mwenyewe baada ya dakika 30''
''Alicheza dakika 30 lakinii baada ya dakika 15 alionekana amechoka lakini amefanya mazoezi mara 4 tu kwaio huto pata ambacho mnapataga''
No comments:
Post a Comment