Wednesday, 11 September 2013

JE UMEZIONA PICHA ZA MTANZANIA ADAM NDITI AKIWA KWENYE MAZOEZI NA SAMUEL ETOO CHINI YA JOSE MOURINHO

Kocha Jose Mourinho akimpa maelekezo kinda wa timu hiyo mtanzania Adam Nditi katika mazoezi yaliyofanyika katika viwanja vya Cobham

Adam Nditi akimsikiliza kwa makini Jose Mourinho pamoja na De Bruyne na Hazard
Eto'o na Nditi kwenye mazoezi 

No comments:

Post a Comment