CHA UVUNGUNI
UKIKUA UNAZIJUA HIZI STAILI ZOTE AU NDO MWENDO WA KIDUKU NA KWAITO TU BASI HIZI NDIZO AINA 10 ZINAZOBAMBA BARANI KWETU AFRICA ..ANGALIA UTAKAZO WEZA KUZICHEZA BASI WAFUNDISHE NA WENZAKO .....
10: GALALA DANCE
staili hii yakucheza imegundukia nchini Nigeria
9: SOU DANCE
staili hii yakucheza imegundulika Nigeria
8: BOBARABA DANCE
staili hii imegundulika ivory coast
7: HLOKOLOZA DANCE
Staili hii imeonekana kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo ya Soul T ambayo kashirikishwa Dj cleo wa South Afrika
6: YAHOOZEE DANCE
nyimbo hii imegundulika Nigeria
5: MAPOUKA
hii sio nzuri kwa watoto chini ya miak 18 staili hii imegundulika ivory coast
4: ALANTA DANCE
3: MAKOSSA DANCE/ RHUMBA /SOUKOUS DANCE
staili hii ilikua inachezwa sana miaka ya 90 nchini Cobgo,Tanzania na Kenya
2: AZONTO DANCE
1: ALINGO
0 comments :
Post a Comment