His Bentley is his prized possession, so he's
burying it, inspired by the Egyptian Pharaohs, in the hope of having it
in his afterlife
amesema ya kwamba ameshawishiwa na Documentary ya Egyptian Pharaohs anategemea kukutana na gari lake hilo mara baada ya yeye kufa.....
Tajiri huyo mwenye miaka 62 amesema anataka kufanya kama Pharaohs wa Egypt walivyofanya anataka kuchukua utajiri wake akija kufa kwa kuzika utajiri wake kwanza
The treasures buried with King Tutankhamun,
pictured left in the Valley of Kings, and right, his exhibited gold
mask, were believed to travel with the dead to their next life
SWALI LANGU NI KWAMBA:JE WALIO TANGULIA WAKILIWAHI NA KULIUZA JE...HAHAHAH PESA INATOA AKILI WATU
0 comments :
Post a Comment