-
KUHUSU YEYE
Ni mshambuliaji aliyesaidia Brazil kushinda kombe la Dunia mwaka 1994 na 2002 naa pia 2006...Alivunja record ya Dunia baada ya kushinda goli lake la 15
-
KABLA YA UMAARUFU
Aliipeleka Cruzeiro kwenye mashindano yao yakwanza ya Copa do Brasil ..pai alikataliwa kujiunga na Flamengo
-
UKWELI KUHUSU YEYE
Alitajwa kuwa ndo mchezaji wa Karne mnamo mwaka 2011 na Goal.comna pia amechaguliwa kuwa Raisi wa Mpira huko Brasil mwaka 2014
-
FAMILIA YAKE
Anaye kaka anae itwa Nelio Jr na mtoto naitwa Ronald, 6/4/2000...Mnamo April 1999 alimuoa mwanamke waki Brazil ambae ni mchezaji mpira aitwae Milene Domingues na kuachana 2003
Mpaka kufikia 2013 yeye na Lionel Messi na Zinedine Zidane ndio wachezaji pekee walio chukua mchezaji bora wa dunia wa mwaka zaidi ya mara 3
No comments:
Post a Comment