Nas Facts | |
-
KUHUSU NAS
Ni mwanamuziki wakuigwa na ameachia Album 8. -
KABLA YA UMAARUFU
Alikua akiimbai stejini akiwa mtoto na alikua akitumia jina la Kid Wave. -
UKWELI NI KWAMBA
Ukweli ni kwamba anaweza akawa na Ablum za kuigwa lakini record yake ya 1994 ilikua noma sana -
FAMILY
Ana mtoto mmoja wa kiume, Knight, amezaa na mke wake wa zamani ambae ni muimbaji Kelis.
No comments:
Post a Comment