MAGAIDI WALIPUA BOMU KITUO CHA POLISI HIKO KENYA NA KUUA WATATU NA KUCHOMA MAGARI ZAIDI YA 11
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa
ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya
na kuwaua polisi
, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma
magari zaidi ya 11.
Ungana nasi baadaye kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment