sheikh Ponda akishuka katika basi la magereza tayari kwenda kukabiri kesi yaki katika mahakama ya mkazi ya hakimu mkazi mkoani morogor
Sheikh Ponda akiwa katika ulinzi mkali wakati akiinggia Mahakamani hapo kusikiliza kesi yake inayo mkabili
wafuasi wa sheikh ponda wakiwa Mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao
kwa ufupi ni kwmba Sheikh Ponda amerudishwa Mahabusu kwasababu ya kunyimwa Dhamana

0 comments :
Post a Comment