Tuesday, 17 September 2013

MAHAKAMA YAMYIMA DHAMANA SHEIKH PONDO NA KURUDISHWA MAHABUSU




              sheikh Ponda akishuka katika basi la magereza tayari kwenda kukabiri kesi yaki katika mahakama ya mkazi ya hakimu mkazi mkoani morogor

 
Sheikh Ponda akiwa katika ulinzi mkali wakati akiinggia Mahakamani hapo kusikiliza kesi yake inayo mkabili

 


 
wafuasi wa sheikh ponda wakiwa Mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao

 kwa ufupi ni kwmba Sheikh Ponda amerudishwa Mahabusu kwasababu ya kunyimwa Dhamana

No comments:

Post a Comment