Friday, 13 September 2013

MBILIMBI HUTUMIKA KUFANYA MAZOEZI YA KUBEBA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DAR ES SALAAM








Kulingana na utafiti uliofanywa na mwandishi wa makala hii katika vijiwe, baadhi ya vijana wamebuni utamaduni wa kufanya mazoezi ya kubeba dawa za kulevya tumboni kwa kumeza mbilimbi bila kutafuna, ili iwapo itatokea nafasi ya aina hiyo muda wowote, wawe tayari kuingia kazini. Uchunguzi uliofanywa maeneo ya Kinondoni, Magomeni, Vingunguti, Manzese, Msasani, na Temeke, umegundua zao la mbilimbi limekuwa likitumika kama kifaa cha kupima uwezo wa mbebaji wa dawa za kulevya

No comments:

Post a Comment