Kiukweli hii ni moja ya show zilizovunja rekodi Fiesta 2013 mtu wangu, muchlove sana kwenu watu wetu wa nguvu 88.1 Mwanza
Hii picha ya pili inaonyesha upande wa kushoto wa stage yani… daaah! Imagine hapa ni upande wa kulia wa stage… Upande wa kushoto wa stage Shilole kazini
Dj Fetty na B12 kutoka XXL ya Clouds FM ndio walihost show Cassim Mganga
Linah kwa stage! Makomando walifanya show kali kama kawaida yao na kutamba juu… Kala Jeremih.. Nikki wa II
H Baba kazini Rich Mavoko
Mr. Blue Young Killer Mwanza Mwanza Quick Rocka Chege na Temba
Joh Makini
G Nako na Joh Makini
Ney wa Mitego
No comments:
Post a Comment