Tuesday, 17 September 2013

PICHA:RAY KIGOSI AFUNDISHWA HOW TO DO NGOLOLO NA DIAMOND..!!!

Hii ilikuwa juzi baada ya kufanya unyama wangu 
kwenye show ya Kili music tour Leaders,wakati nalejea
 nyumbani ilinibidi nipite nyumbani kwa Kaka angu,ndugu yangu..Baba ya bongo movies,Ray kigosi kumsalimia kidogo,ile nafika tu nikamkuta ana hangaika kudance
Ngololo,sijui na yeye anataka Ipad..ha ah ha ....!!!

Hatuendi hivyo baba...utacheza kiduku bure..
Tunafanyaga hivi.........


Usiku mwema..hii michezo huiwezi tuachie sisi...

No comments:

Post a Comment