Bondia
Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa
anafundisha somo la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi
shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara baada ya chuo cha St Joseph cha mjini
Morogoro Kumpa nafasi bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni
ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya
kumpongeza bondia huyo
Bondia Francis Cheka Akiwa na wanafunzi wa chuo hicho katika picha ya pamoja
Bondia
Francis Cheka pamoja na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha St Joseph cha
mjini Morogoro wakijisomea mara baada ya kumaliza kipindi
Na shekidele
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment