.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BREAKING NEWS: KATI YA MAGAIDI WALIOITEKA WESTGATE MALL MMOJA ATAJWA JINA NA MAKACHERO WA NORWAY

        
Mwanaume ambae alikua akichunguzwa na askari wa Norwegian  kuhusu uvamizi wa Mall ya westage iliyopo nchini Kenya ni Hassan Abdi Dhuhulow
Kijana huyo wa Norwegian ambae ni raia wa Somalia anaisiwa kwamba ameshiriki kwenye mipango yote mpaka kufanikisha uvamizi huo.....

BBC imezungumza na ndugu yake anaeishi Norway ambae amesema kwamba kijana huyo aliondoka mjini Larvik na kwenda Somalia mnamo mwaka 2009

Wiki iliopita Mkuu wa upelelezi wa Norway alituma vijana wake nchini kenya kuhakikisha ripoti kwamba raia wa Norwegian anausika kwenye uvamizi wa Mall io ambao ulitokea mnamo tarehe 21 mwezi wa Tisa ambao uvamizi huo ulidumu kwa siku 4 mfululizo

Mpaka sasa Bado aijafahamika ni magaidi wangapi walikuemo kwenye uvamizi huo Lakini askari walikisia kwamba walikuepo magaidi 10-15 lakini CCTV camera  ilirekodi baadhi ya video na uongozi wa kenya ulitoa video hizo na cha kushangaza ni kwamba ni Magaidi wanne tu ndo walioonekana kwenye video hizo  huku Hassan Abdi Dhuhulow anasadikiwa kuwa ni mmoja kati ya wale wanne


Hassan Abdi Dhuhulow amezaliwa Somalia lakini yeye na familia yake walienda nchini Norway mnamo mwaka 1999 kama wakimbizi

Forensics investigators work next to the collapsed upper car park at the Westgate shopping centre in Nairobi

 
Ndugu  yake aliongea nakusema kwamba Dhuhulow alondoka na kwenda Somalia mwaka 2009. Alikua akipiga simu kila saa nyumbani somalia na alisema kwamba anamatatizo na alikua anataka kurudi nyumbani
Baada ya  kusema kwamba Dhuhulow ameonekana kwenye CCTV basi ndugu yake huyo alisema kwamba yeye ajui na kama ndo yeye atakua ameshawishiwa basi

Mwandishi wa Habari Gabriel alisafiri mpaka mjini Larvik kilomita 120 kusini mwa Oslo, ambapo familia ya Dhuhulow walikua wakiishi
Morten Henrisksen mmoja wa majirani wa familia ya Dhuhulow amesema yakwamba ajaonana na Dhuhulow kwa miaka mingi lakini alikua kijana mzuri na pia hakupenda maisha ya Norway alikua akiingia kwenye majibizano na kupigana, baba yake alikua na mashaka nae sana....Mr Henriksen alisema hayo
Baada ya yeye kuangalia video io alisema kwamba ''yule alievaa shati jeusi anaweza akawa Dhuhulow''

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad