.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BREAKING NEWS : WAFRIKA ZAIDI YA 150 WAFARIKI LEO 3/10/2013

 
Inasemekana Takribani wakimbizi 130 kutoka Afrika wamefariki na wangeni wamepotea baada ya boti iliokuwa ikiwapeleka huko nchi za kigeni kuzama ilipofika kusini mwa kisiwa cha Lampedusa kilichopo nchini Italy


Abiria walijitupa ndani ya Bahari wenyewe baada ya moto kuwaka ndani ya boti hilo..Zaidi ya wakimbizi  150 wameokolewa

Wakimbizi wengi kwenye boti hilo walikuwa wanatokea nchi za Eritia na Somalia ..umoja wa mataifa umethibitisha

Pia imebainika kwamba boti hilo lilikua limebeba takribani watu 500 na badhi kama 200 hawajahesabiwa

Rescued migrants arrive onboard a coastguard vessel at the harbour of Lampedusa
zaidi ya watu 150 wameokolewa
 
 
This picture grabbed on a video released by the Guardia Costiera on October 3, 2013 shows some of the immigrants after their rescue near Lampedusa

 

Survivors of a ship carrying migrants which caught fire and sank off the Sicilian island of Lampedusa are seen aboard an Italian Coast Guard vessel

 
 
Body bags containing African migrants, who drowned trying to reach Italian shores, lie in the harbour of Lampedusa
mihili wa waliopoteza maisha ikiwa imepangwa
 

Mr Alfano amesema watoto watatu na wajawazito wawili nao wamefariki katika ajari io....Pia wanao sadikiwa kuhusika amekamatwa
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad