Just Night with Super DJ John Peter Pantalakis & Le Mutuz
Kuanzia Leo ijumaa na kila ijumaa
-Kilichopikwa kimeiva, kipo mezani ndani ya City Sports Lounge, Tukiwaletea dj mkongwe John Peter Pantelakis tukitambulisha rasmi 'Just Night', njoo uzisikie na kujikumbusha kucheza, Push back, break dance, robbot, salsa, chacha, soka rhumba na deep soul, hii ni bahati ya kipekee katikati ya jiji, ukiikwepa foleni...!
-Ngoma zinazopigwa na dj number one mwishoni mwa miaka 70 na 80, njoo ukutane na wenzako wa wakati huo, bahati isiyojirudia, kuanzia 11;30 hadi saa 2;00 kutakuwa na Happy Hour, Super J. double P atawakumbusha disco 110, RSVP, King Transmission Unit(KT), FM Disco Sound Msasani Beach na YMC sanajri na za African beats ghorofa ya 7 ndani ya New Africa wakati huooo!
"dont miss", 'Just Night" ni tukio maalum la mara 4 kwa mwezi ndani ya City Lounge, ni kinywaji chako tu!
0 comments :
Post a Comment