.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HII NDO MUVI MPYA YA RAY,VIDEO QUEEN HAMISA NDANI


STAA wa Filamu za Kibongo Vincent Kigosi‘Ray’ yupo mzigoni kuandaa filamu mpya ambayo haijajulikana jina huku akiwashirikisha wasanii wapya akiwemo video queen wa muziki wa Bongo Fleva Hamisa.
Katika filamu hiyo Hamisa ameonekana amevaa shela akiwa na msimamizi wake ambaye naye pia ni msanii chipukizi hajajulikana jina lake,huku Ray akiwa na best man aliyejulikana kwa jina la Dullah inaelekea itakuwa ni bonge la filamu.
Ray ameamua kutoa vipaji vingine kupitia filamu hii kama ambavyo ametoa wasanii mbalimbali akiwemo Shilole na wengineo.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad