Thursday, 24 October 2013

JOKATE AFUNGUKA NA KUSEMA DIAMOND ALITAKA TUZAE



Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Jokate alifunguka hayo juzikati alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mapaparazi wa Global Publishers, pamoja na kufunguka mengi, alibainisha kuwa Diamond huwa anapenda watoto kwenye uhusiano.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Mh! Diamond anapenda kuzaa, tena siyo kwangu tu wanawake wake wote huwa nasikia anataka kuzaa nao,” alisema Jokate.

No comments:

Post a Comment