.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

KAMA ULIKUA UJUI WEMA NA PENNY WALIKUA MARAFIKI WAKUBWA KITAMBO...CHEKI PICHA HAPA...







 Kumbe Wema Sepetu na Dvj Penny walikuwa marafiki wakubwa kabla ya kitendo cha nyota wa muziki wa bongofleva Diamond Platinum kuuvunja urafiki huo kwa kuamua kuanzisha uhusiano.

Diamond ambaye ndiye chanzo cha kuvuruga uhusiano huo baada ya kuanzisha uhusiano mpya na mtangazaji huyo maarufu wa DTV Penny, ambapo sasa wadada hao wawili wamekuwa chui na paka.





Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad