Dereva wa lori leo asababisha foleni kubwa sana maeneo ya wami ni baada
ya Lori lake kushindwa kuwaa kutokana na kugoma kwa stata na kusababisha
Foleni ya Takribani dakika 45 na io kufanya safari za watu mmabasi na
magari mengii ya watu binafsi kuchelewa ...... Io imetokea ni baada ya
uzembe wa baadhi ya madereva wa malori kushindwa kufanyia magari yao
service kabla ya kuanza safari zao........
.

.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment