.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

LINAH AVISHWA PETE YA UCHUMBA


clip_image002MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad