Kama ulikua unafatilia kipindi cha KEEPING UP WITH THE KARDASHIANS utajua ya kwamba hawa wawili walikua hawana raha kabisa kwenya ndoa yao ila walikua wanaishi maisha ya furaha kwasababu camera zilikua mbele yao hila pale tu camera zinapotoka mbele yao basi maisha yao halisi ya ugomvi yanaendelea na sasa wameshindwa kuendelea kuishi maisha maigizo
Mtu wa karibu wa familia io amewambia watu, ''hivi sasa amna maigizo. Bruce ameenda Malibu mwezi wa sita na wemeupenda uo mpangilio.''
''Tunaishi tofauti sasa na tunafurahia maisha haya ,'' wapenzi hao walisema maneno hayo.''Lakini upendo na heshima itaendelea kuwepo kati yetu. hata kama atupo pamoja sasa, tutaendelea kua marafiki wakubwa tu, na kama kawaida familia yetu itaendelea kuwa chaguo letu namba moja.''
Mtu wa karibu wa familia io amewambia watu, ''hivi sasa amna maigizo. Bruce ameenda Malibu mwezi wa sita na wemeupenda uo mpangilio.''
Kris's daughter Khloé Kardashian and Lamar Odom have been struggling
with their marriage. And daughter Kim Kardashian recently finalized her
divorce from Kris Humphries.
Kris, 57, and Bruce, 63, harusi yao April 1991,
Picha ya familia yenye furaha hapo juu ni Bruce na kris kwenye harusi yao 1991. Bruce amekua kama baba wa kambo kwa watoto wa Kardashian baada ya baba yao kufariki kwa cancer 2003
0 comments :
Post a Comment