.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

50 CENT NA JA RULE WANA BEEF KUBWA SANA...SASA WAMEKUTANA KWENYE NDEGE MOJA ..UNAJUA NINI KILITOKEA



Rapper Ja Rule amesema kwa wale wanaosubiri vijana wawili wenye mafanikio kupigana risasi, Muda huo umepita. Ja Rule amefunguka haya baada ya kupanda ndege moja na rapper mwenye beef na yeye,Rapper 50 Cent bila tatizo lolote kutokea kati yao baada ya kuonana.  Kwenye twitter ya Ja Rule tarehe 18 November Ja Rule aliandika hii kwenye Twitter. Je Huu ndio mwisho wa beef yao na Ja Rule kutokuwa na hit single kwenye radio inamfanya awempole au ?
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad