Friday, 22 November 2013

BREAKING NEWS: P SQUARE WATUA DAR USIKU HUU .... JUMAMOSI PALE LEADERS CLUB.....



23307ca052f311e3a1cd0a6ea6ffa675_8
 Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.

No comments:

Post a Comment