Wawili waliopoteza maisha walikua miongoni mwa Wafanyakazi wanaojenga uwanja huo ambapo kubomoka kwa uwanja huu kulitokana na kufeli kwa crane ambapo waliofariki ni Fabio Luiz Pereira, 42, driver/operator of the company BHM Munck pamoja na mjenzi Ronaldo Oliveira dos Santos, 44.
Viwanja vyote 12 vitakavyotumika kwenye mechi za kombe la dunia vimekua vikijengwa kwa kasi ili kumalizika kwa muda uliopangwa na FIFA ambao ni December 2013.
0 comments :
Post a Comment