MAKOCHA WA SIMBA ABDALLAH KIBADENI NA MSAIDIZI WAKE JAMHURI KIHWELU WATIMULIWA
Kocha mkuu wa Simba Abdala Kibadeni
pamoja na Msaidizi wake Julio Wametimuliwa kazi katika timu ya Simba kwa
Kile kinachosemekana ni utendaji wa kazi Mbovu...Simba inatarajia
kumleta kocha mpya Mzungu Anaitwa Bobby Williamson...Ambaye alikuwa
kocha wa Gori Mahia ya kenya...
No comments:
Post a Comment