.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MAPYA YAZUKA KWENYE MAZISHI YA DR. MVUNGI LEO LIVE!!

Jeneza lenye mwili wa Dk Sengondo Mvungi likishushwa kaburini.Mwanga, Tanzania. 


Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi amezikwa Leo, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Katika ibada ya mazishi, Askofu Rogath Kimario wa Dayosisi ya Same ya Kanisa Katoliki
amesema tukio la kuuawa kwa Dk Mvungi halikuwa tukio la ujambazi bali lilikuwa ni tukio la kimtandao.

Askofu Kimario amesema waliofanya mauaji hayo ni wauaji wa kimtandao na kuitaka Serikali kufuatilia suala hilo na kutoa majibu sahihi kuhusu mauaji hayo.“Eti wanasema waliotenda hilo ni majambazi!, nani kasema ni majambazi? Ni research (utafiti) ipi ama upelelezi gani umefanyika. Hawa ni wauaji wa kimtandao,”amesema.


Ibada ya mazishi ya Dk Mvungi ilifanyika Kanisa la Moyo wa Mtakatifu Yesu la Parokia ya Kisangara Juu lilipo Chanjale wilayani Mwanga.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad